Waandamanaji waliingia mitaani katika Austria, Ufaransa na Italia Jumamosi ili kudai kusitishwa kwa ukatili dhidi ya wanawake.