Maelfu ya wanawake walienda kwenye Ukumbi wa Rais ili kumshinikiza Rais Karol Nawrocki kusaini miswada miwili iliyopitishwa na Seneti mnamo Novemba 6.